Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

Hiyo haina tatizo mkuu. wala haihitaji gharama kubwa. wewe unakaa wapi? kama upo dar nipm au umpim figganigga. Ni kazi ya chini ya nusu saa. Karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndio mashushu wizara ya Afya na utakuwa umetumwa ww kuwafanyizia madaktari

Shushushu.JPG
 
bINTI WAgeti kali yuko ana ujauzito wa miezi mitatu anahaha anataka nimsaidie kuchomoa mimba ya mitatu,,, maana ana mchumba wake yuko Abu dhabi na amekaribia kurudi nchini sasa anahisi ndoa ndo hivyooooooooooooo tena kitanuka,,,,, anasema hela sio shida kwake yuko radhi kwa bei yoyote i mradi mimba itoke,,,,,,, wadau mi siwezi kabisa


ALIYETAYARI NIMSUKUMIE MZIGO EMAIL ME VIA joykwetu@yahoo.com Fasta maana anataka kesho au kesho kutwa tu iwe imechomolewa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,TANX


tAJA NA bEI KABISA.............................

mpaka inafika miezi mitatu aikuwa anaona tu utamu kukaa nayo?!
 
Jamani wadau shem wenu amekarbia kujfungua!Thanx kwa maombi na ushaur wenu,
 
kama unabagua comment sioni sababu ya wewe kuomba ushauri maana majibu yote!:bange:
 
Mpendwa mimba ya dakika moja ni mototo/kiumbe kamili. Kumbuka wewe ulizaliwa na wazazi wako hawakuangalia kama walikuwa na kazi, heshima kwa wakwe, mali za posa, ndugu, jamaa, nk. walikupokea wakakulea na wakakuleta duniani. Mfanyie mwanao hivyo hivyo na utakuwa na furaha ya kweli maishani. Huyo mototo hahitaji chochote cha maana sasa hivi ila upendo.
 
hadi sasa nazid kufurahia maisha baaada ya mwenyezi mungu kunipa mtoto wa kiume nawashukuru saaana kwa maoni,ushauri na msaada wenu wadau kwani mlinisaidia saana amaaa kweli jf ni mwanzo mwisho,hadi sasa hana tatizo lolote na ni mzima wa afya kabisaaa pamoja na mama yake ila sasa had sasa maisha ni magumu coz sjapata ajiara naungaunga tu kigumu,thanks much wadau
 
Mpendwa mimba ya dakika moja ni mototo/kiumbe kamili. Kumbuka wewe ulizaliwa na wazazi wako hawakuangalia kama walikuwa na kazi, heshima kwa wakwe, mali za posa, ndugu, jamaa, nk. walikupokea wakakulea na wakakuleta duniani. Mfanyie mwanao hivyo hivyo na utakuwa na furaha ya kweli maishani. Huyo mototo hahitaji chochote cha maana sasa hivi ila upendo.

amaaa kweli uliyoyasema baghati yametimia nakushukuru saaaana ndugu yangu pamoja na wadau wengine
 
sasa wazee mbona mumemtupa kijana?
Nami nataka kujua mbinu ya kutoa mimba ya wiki 1
ahsanteni!
 
...hahitaji kuzaa kwa sasa ? kwani mimba ya wk mbili inazaliwa leo ?muache baada ya almost mwaka kasoro ndo atazaa,by anymeans usijustify uuaji...
 
Ilikuwa tarehe 13 ya mwezi huu hadi sasa hajapata mp yake imetokea kwa bahati mbaya,je inaweza kutoka kwa kirahisi mapema hii kabla hakijawa kiumbe kamili.Doctor ni njia gani nitumie ili kumnusuru wangu nimpendae?.NB.Kwa wale wanaopenda kujibu kwa matusi sihitaji ni bora wakaendelea na thread zingne na siyo KUNITUKANA.Pliz pliz matusi sitaki nataka USHAURI WAKO TU.ASANTENI
Nlimaliza chuo mwaka 2011..takriban mwaka wa tatu cjapata kazi! Nna mtoto wa miaka miwili..ckutarajia kubeba mimba nyingine kwa sasa! Ili niongeze juhud ya kusaka mahela!(kufanya biashara n kutafuta kazi)..mwez ulopita nkagundua nna ujauzito baada ya kupima mkojo..lol nlichanganyikiwa wallah! Ctak mimba coz maisha yangu hayajakaa sawa! Tukashauriana na mume tuitoe! Lkn nafs yangu inakuwa nzito kutoa..japo mtoto mwengine kwa sasa cmuhtaj! Nkahs nkipata ushaur kwa watu na wakitokea watatu tu wakinambia ntoe labda ntafarijika na ntapata nguvu za kutolea lkn ckupaya ushaur huo! Ikabd nibadl mawazo kwamba ctoi hii mimba..baada ya kukaa km wiki moja hv nkapata kazi..dah namshukuru Mungu! Japo nna ka mimba kangu hapa na cjui itakiwaje boss akijua maana hv private coy hazielewek! Bado cjapewa mkataba! Lkn ndugu yangu nmeamin kila mtoto anakuja kwa rizk yake vile Mungu amekupangia! So asitoe hyo mimba amuombe Mungu na maisha yatakuwa mepes na yafuraha zaid ya unavyofkiria
 
Wee unataka kuua?acha ujinga ulivyokuwa unakata mauno ulijua nini
 
Thankx,jf ndo jibu halis,nimefarijka sana!,what iz the way foward?

Way forward jiandae kama baba, tafuta kazi kwa juhudi bila kuchagua au namna yoyote ya kujiingizia kipato , zidisha upendo kwa familia yako ijayo come on man, picture yourself ukiwa na mtoto na mama pamoja trust me inaleta faraja sana

Try ku approach kazi na other income opportunities, ila ukizisubiria utapata tabu sana
 
Back
Top Bottom