MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
KWA SASA NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KAHAMA IWE NA MAJI NA UMEME PIA FENSI IKIWEZEKANA!!,wadau kwa yeyote yule mwenye nayo anijulishe hapa jamvini au ani P.M. Tuwasiliane.Ndo naanza maisha hvo mwenzenu nisaidieni.Mawazo yenu sintoyasahau ktk maisha yangu na ntayafanyia kazi.Thankz