Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kujua gharama au ukubwa Wa tanki kulingana na paa la nyumba yako?Habari za kazi?
Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani?
Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
Habari za kazi?
Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani?
Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
Great, nyumba ina vyumba 4, living, dining rooms na kitchen.ni hivi ungesema nyumba yako inavyumba vingapi?Sebule nk,ili kuestimate ukubwa wa nyumba itafny estimate ya paa lake kisha naweza kukupa estimate ya PVC gutter zake na tank au kalo! plus labr charge kama kazi utatupa sisi.
Great, nyumba ina vyumba 4, living, dining rooms na kitchen.
Naprefer kalo (sijui ndio kisima) kuliko tank. Kuna sehemu niliona ana kisima cha maji ya mvua, kiasi kwamba ana maji mwaka mzima.
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.Naona umeona mbali na kujaribu kuangalia njia mbadala ya kutumia kile anachotupatia Mungu bila gharama kubwa. Mpango huo nakuunga mkono kama ifuatavyo:
- Kipindi cha mvua ni kirefu kutosha kwa nyumba ya kawaida ya familia rahisi kufadhi maji ya kutosha inawezekana na ukawa na mtaji wa maji kipindi chote cha kiangazi.
- Nafasi ikikuruhusu bora kuwa na visima viwili:
[*=1]Kimoja maji ya matumizi jikoni
[*=1]Kingine matumizi ya kawaida kama kufulia, kuoga na bustani
- Kisima nashauri kiwe cha kujenga floor iwe kuanzia mita moja kutoka usawa wa ardhi ili kuwe na gravity ya upatikanaji wa maji yanayovunwa kutokana na mvua, hii itakufanya uwe na koki ya kufungua na kufunga maji badala ya kuchotelea kwa kopo au kutumia mashine ya pumbu..
- Kisima cha ardhini kunapotokea leakage huwa vigumu kubaini kwani utashtukia tu maji yanaisha bila habari.
Kisima cha maji ya kawaida kwa matumizi mbalimbali kukinga maji huanzia na mvua za awali ili kupata storage ya kutosha, na kisima cha maji ya matumizi ya jiko vema hadi paa linasafishika na mvua zinapokatika kipindi kirefu hakikisha unafunga njia na kupisha maji yaende kisima cha kawaida, hii itasaidia kisima vyote vinajaa maji kwa matumizi ya kipindi chote cha kiangazi.
Kumbuka kusafisha visima hivyo kila mwanzoni mwa msimu wa majira ya mvu ili kuhakikisha maji mapya yanapoingia yanakutana na hali swali visimani.
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.
Kwa ukubwa huo maji yakijaa yanakuwa lita ngapi? Tofali ulitumia ngapi?
Kisima chako umejenga maaneo ya wapi kama ni dsm?
Kaunga ulipata jibu la hili swali? Hasa hasa kwenye "treatment"?Habari za kazi?
Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani?
Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
msafiBinafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.