Msaada: Namna ya kuvuna na kuhifadhi Maji ya mvua

Mkuu bado unaendelea na huu mradi wa maji ya kuvuna
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.
 
mkuu hiki kina capacity ya ngapi naweza pata no ya fundi wako anitengenezee niko tanga
 
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.
Shida ya maji ya mvua ni laini sana, ukiogea basi utahitaji kiasi kikubwa cha maji ili sabuni iondoke mwilini.
 
Wakuu nipo very interesting na treatment, nimejenga gata kubwa sana (canopy) ambayo lengo mwanzo ilikuwa ni urembo na kufanya add value kwenye nyumba, lakini sasa nimekuta kwamba nakusanya maji mengi sana kupitia hii canopy nina 10,000Lt storage lakini kasheshe inakuwa kwenye kuyatibu haya maji, yakikaa sana yanapata vidudu. can someone advise treatment dawa either natural au mbadala.
Mkuu kwanza kabisa hakikisha kwamba bomba linalopeleka maji kwenye tank lisiwe linapeleka maji moja kwa moja pindi msimu wa mvua unapoanza.

Muhimu funga njia mbili na koki pia, pindi mvua zinapokata basi utakuwa unaifungua ile koki ili kuzua maji yasiingie kwenye tank na badala yake yawe yanamwagikia chini hadi pale utakapoona kwamba vumbi na taka zinginezo kutoka kwenye bati na gata zimemalizika na maji yanamwagika yakiwa safi, hapo ndipo unaweza yaruhusu yawe yanaingia kwenye tank. Kwa njia hii utakuwa unapata maji yaliyo safi na salama zaidi, hutohitaji madawa ya kutibu maji tena.
 
Hata mie treatment ni changamoto kwangu, changu kimefunikwa na kikubwa sana, ila kuna wakati kuna harufu hivi especially kama unapoanza kuoga kwenye shower unaisikia then inakata, sasa nauliza hizo waterguard si itabidi ununue tani nzima maana ni tukopo tudogo tudogo sana au kuna kubwa zake au kuna dawa ingine
Shida maji yanaingia na taka kutoka kwenye bati na gata. Kuna ndege huwa wanaweka viota sasa kwa uchafu huo ni lazima maji yaharibike.
 
Mada muhimu sana.

Miaka nane.

Kurasa mbili tu.

Wabongoooo!
 
Mada muhimu sana.

Miaka nane.

Kurasa mbili tu.

Wabongoooo!
"We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato."
 
Back
Top Bottom