Msaada: Namna ya kuvuna na kuhifadhi Maji ya mvua

Njia rahisi na nafuu ni hii
Tafuta makingio ya maji weka pembezoni mwa bati ya nyumba ziko siku hizikuna makingio ya plastic ya kisasa.
Tafut tank la ujazo unaotaka wewe kama lt 500 au 5000 au ujazo unaoutaka wewe, hapo wewe elekezea hiyo kingio la majI kwenye tank.mchezo kwisha
 
Habari za kazi?
Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani?

Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
Mkuu unataka kujua gharama au ukubwa Wa tanki kulingana na paa la nyumba yako?
 
Habari za kazi?
Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani?

Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.

Ni hivi ungesema nyumba yako inavyumba vingapi? Sebule nk, ili kuestimate ukubwa wa nyumba itafnya estimate ya paa lake kisha naweza kukupa estimate ya PVC gutter zake na tank au kalo. plus labour charge kama kazi utatupa sisi.
 
ni hivi ungesema nyumba yako inavyumba vingapi?Sebule nk,ili kuestimate ukubwa wa nyumba itafny estimate ya paa lake kisha naweza kukupa estimate ya PVC gutter zake na tank au kalo! plus labr charge kama kazi utatupa sisi.
Great, nyumba ina vyumba 4, living, dining rooms na kitchen.
Naprefer kalo (sijui ndio kisima) kuliko tank. Kuna sehemu niliona ana kisima cha maji ya mvua, kiasi kwamba ana maji mwaka mzima.
 
Naona umeona mbali na kujaribu kuangalia njia mbadala ya kutumia kile anachotupatia Mungu bila gharama kubwa. Mpango huo nakuunga mkono kama ifuatavyo:
  • Kipindi cha mvua ni kirefu kutosha kwa nyumba ya kawaida ya familia rahisi kufadhi maji ya kutosha inawezekana na ukawa na mtaji wa maji kipindi chote cha kiangazi.
  • Nafasi ikikuruhusu bora kuwa na visima viwili:

  1. [*=1]Kimoja maji ya matumizi jikoni
    [*=1]Kingine matumizi ya kawaida kama kufulia, kuoga na bustani

  • Kisima nashauri kiwe cha kujenga floor iwe kuanzia mita moja kutoka usawa wa ardhi ili kuwe na gravity ya upatikanaji wa maji yanayovunwa kutokana na mvua, hii itakufanya uwe na koki ya kufungua na kufunga maji badala ya kuchotelea kwa kopo au kutumia mashine ya pumbu..
  • Kisima cha ardhini kunapotokea leakage huwa vigumu kubaini kwani utashtukia tu maji yanaisha bila habari.

Kisima cha maji ya kawaida kwa matumizi mbalimbali kukinga maji huanzia na mvua za awali ili kupata storage ya kutosha, na kisima cha maji ya matumizi ya jiko vema hadi paa linasafishika na mvua zinapokatika kipindi kirefu hakikisha unafunga njia na kupisha maji yaende kisima cha kawaida, hii itasaidia kisima vyote vinajaa maji kwa matumizi ya kipindi chote cha kiangazi.

Kumbuka kusafisha visima hivyo kila mwanzoni mwa msimu wa majira ya mvu ili kuhakikisha maji mapya yanapoingia yanakutana na hali swali visimani.
 
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.
 
Kwa ukubwa huo maji yakijaa yanakuwa lita ngapi? Tofali ulitumia ngapi?
 
Habari za kazi?
Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani?

Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
Kaunga ulipata jibu la hili swali? Hasa hasa kwenye "treatment"?
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.
msafi

Vipi kuhusu treatment ya maji? WaterGuard inapatikana wapi hapa Dar?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nipo very interesting na treatment, nimejenga gata kubwa sana (canopy) ambayo lengo mwanzo ilikuwa ni urembo na kufanya add value kwenye nyumba, lakini sasa nimekuta kwamba nakusanya maji mengi sana kupitia hii canopy nina 10,000Lt storage lakini kasheshe inakuwa kwenye kuyatibu haya maji, yakikaa sana yanapata vidudu. can someone advise treatment dawa either natural au mbadala.
 
Hata mie treatment ni changamoto kwangu, changu kimefunikwa na kikubwa sana, ila kuna wakati kuna harufu hivi especially kama unapoanza kuoga kwenye shower unaisikia then inakata, sasa nauliza hizo waterguard si itabidi ununue tani nzima maana ni tukopo tudogo tudogo sana au kuna kubwa zake au kuna dawa ingine
 
Binafsi nimechimba kisima cha futi 16 urefu na futi 16 upana; nina miaka 3 mvua zinakutana. wakati wa kujenga hakikisha unatumia water proof, na cement ya kutosha, mimi nimetumia tofali "6. Nimefunga sim tank 5000lts juu, maji yanapanda kwa automatic pump, na kisha yanateremka kwa gravity. Nayatibu maji kwa kuweka water guards za kutosha, na sijapata tatizo lolote. kutegemeana na fundi,nilitumia kama 4-6 milioni, na sitarajii kujiunga na dawasco labda waseme mvua hakuna miaka miwili mfllizo. Ukitaka shule zaidi google rain water harvesting and treatment; nilipata shule nzuri toka Australia.

Kwanza hongera sana!!
Je uliweka chambers zozote katika mfumo wa ukusanyaji maji?

Hiyo automatic pump inafanyaje kazi na inauzwa wapi na kwa bei gani
 
ni wa wazo zuri ila kama upo maeneo dawasco inafika jiunge nao tu.. siku hizi maji mda wote karibu yanatoka... na bili yao ni ndogo sana ukiwa unailipa kwa wakati
 
Back
Top Bottom