Msaada: Namna ya kuvuna na kuhifadhi Maji ya mvua

Mkuu bado unaendelea na huu mradi wa maji ya kuvuna
 
mkuu hiki kina capacity ya ngapi naweza pata no ya fundi wako anitengenezee niko tanga
 
Shida ya maji ya mvua ni laini sana, ukiogea basi utahitaji kiasi kikubwa cha maji ili sabuni iondoke mwilini.
 
Mkuu kwanza kabisa hakikisha kwamba bomba linalopeleka maji kwenye tank lisiwe linapeleka maji moja kwa moja pindi msimu wa mvua unapoanza.

Muhimu funga njia mbili na koki pia, pindi mvua zinapokata basi utakuwa unaifungua ile koki ili kuzua maji yasiingie kwenye tank na badala yake yawe yanamwagikia chini hadi pale utakapoona kwamba vumbi na taka zinginezo kutoka kwenye bati na gata zimemalizika na maji yanamwagika yakiwa safi, hapo ndipo unaweza yaruhusu yawe yanaingia kwenye tank. Kwa njia hii utakuwa unapata maji yaliyo safi na salama zaidi, hutohitaji madawa ya kutibu maji tena.
 
Shida maji yanaingia na taka kutoka kwenye bati na gata. Kuna ndege huwa wanaweka viota sasa kwa uchafu huo ni lazima maji yaharibike.
 
Mada muhimu sana.

Miaka nane.

Kurasa mbili tu.

Wabongoooo!
 
Mada muhimu sana.

Miaka nane.

Kurasa mbili tu.

Wabongoooo!
"We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…