chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
usijali mvuto wako ni kitendea kazi tosha cha kuwalainisha wakupende bila kusema neno...................cha kukusaidia andika verse kwenye karatasi ukifika unamkabidhi thawa hendisamu boi.
Kama hyo hali ingekuwa imekuchosha ungeshaweza kui overcome!
pia nwdays hakuna kutongozana kivilee..ni kupanga outngs for dinner or lunch then the shows goes on! Huwez kuwa na script yako kichwan then ukadhan utakae kutana nae ata fit na kufata hzo conversation zako unazopangilia kichwan kwako.
duh! mtanashati bwana, komaa nao mwana
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija kwenye reality nachanganyikiwa where to start where to end on top of that nakuwa kama nascare mpaka dem anasanda, am tired with this damn but on how i can escape through please help!!
unaogopa sana wanawake tu! Vp umeshajaribu kwa wanaume?[/
Bado!
hiyo outing ntaipanga kwa showoff while you are not approaching her yet then how comes alafu shida yangu ni wakati niko kwenye hiyo lunch au dinner hapo ndo nakosa cha kuongea?
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija kwenye reality nachanganyikiwa where to start where to end on top of that nakuwa kama nascare mpaka dem anasanda, am tired with this damn but on how i can escape through please help!!
Hiyo "grama" ya ghetto huwa inahusisha SYNTAX pekee au na MORPHOLOGY pia!??
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija kwenye reality nachanganyikiwa where to start where to end on top of that nakuwa kama nascare mpaka dem anasanda, am tired with this damn but on how i can escape through please help!!
usijali mvuto wako ni kitendea kazi tosha cha kuwalainisha wakupende bila kusema neno...................cha kukusaidia andika verse kwenye karatasi ukifika unamkabidhi thawa hendisamu boi.
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija kwenye reality nachanganyikiwa where to start where to end on top of that nakuwa kama nascare mpaka dem anasanda, am tired with this damn but on how i can escape through please help!!
Are you sure?a yu seying zat yu are domozeging? Kamon man, zis is ze shem!
If yu cant tell zem zen kam tu mi ai ken tich yu.
Adult!Hau ol a yu nao?