Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 313
Adult!
That isn't an answer. He ask how old are you?? Mtanashati jibu swali kiufasaha upate msaada..
Adult!
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija kwenye reality nachanganyikiwa where to start where to end on top of that nakuwa kama nascare mpaka dem anasanda, am tired with this damn but on how i can escape through please help!!
Hah! mbona lipocomplete!That isn't an answer. He ask how old are you?? Mtanashati jibu swali kiufasaha upate msaada..
somehow!Mtanashati unatumia kinana?? A.k.a kilevi chochote??
somehow!
Sasa kama unatumia Kinana kitu gani kinashindikana mkuu?