Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

Baada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....?

Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi.

1.
b1663f7190abfe5f75446da46bce3277.jpg
View attachment 447113

2.
fc02b2dfb5d71a84cf45022c75dc7824.jpg
huyo ruby ndio kaiga, na hata hivyo hajapendeza. ana sura ngumu kama mwanajeshi wa msitu wa congo.
 
Kila mtu ana macho yake na hisia zake bana, usiempenda wenzako wanaota watampata lini ila kwa kweli kuna wasichana wabaya sio siri
 
Uyo ruby alivyojibinua daah wadada mna shida sana siku hizi na kujibinua makalio
Ndo mana mnaombwa tigo
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu VP tena
 
Mhhh mbona huyo wa kwanza kichwa chake kama yule jamaa anayekalia magogo pale Magogoni ?
 
Hvi kumfananisha tunda na mambo ya ajabu mmeanza lin
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Umenishinda tabia kwa kweli
 
Back
Top Bottom