Daaa hapa hua ndio nashindwa kuelewa[emoji23][emoji23]
Wadada vimodel wasio na [emoji196] hua wanawawakandia wenzao walio na [emoji196]
Katika hizi picha Tunda na Ruby wote hawana [emoji196] ila wamebinua viuno juuu[emoji6] ili tuone nao wana [emoji196] [emoji196] (kwa hiyo wanapenda kua na [emoji196] japo unaweza kuta wakiwakandia wenye [emoji196] [emoji196] eg. Masogange, Ambar lulu, Gigy, Nai huddah) [emoji3] [emoji3]
Conclusion:
Wanaume zaidi ya 90% wanapenda wanawake wenye [emoji196] [emoji196]
Wanawake zaidi ya 75% wanapenda kua na [emoji196] au kuendelea kua na [emoji196]
Swali:
Kazi ya [emoji196] ni nini?
My Take:
Watanzania wengi kwa sasa bila kujali itikadi ya vyama vyao, hali ya uchumi, elimu zao, makabila yao kwa pamoja wanapenda [emoji196] [emoji196]
×××××××××××××××××××
Mimi napenda misambandwa