Aaaah!Umenishinda tabia kwa kweli
Huo msamaha ni changa la macho jamani bae wangu.Aaaah!
Hayo yalikuwa maoni tuu bae wangu.
Halafu nimetanguliza hadi msahama kwa watakao kereka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee umenichekesha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cousin dukuduku lilikuwa lina nikaba ikabidi nilitoe
Usingesema ungeumwa vidonda vya tumbo bora umetoa ya moyoniSamahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.
Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia vibaya kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Ngoja niangalie vizuriWote wa kawaida tuu ila mmoja kavaa gagulo oversize mwingine gagulo limenfit vizuri.
Ok uangalie na miguu yao imekomaa kama spoku za guta.Ngoja niangalie vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Ok uangalie na miguu yao imekomaa kama spoku za guta.
Usjali baby mamaHuo msamaha ni changa la macho jamani bae wangu.
Hivi,lengo lako ni kututamanisha wanaume wenzio au?Baada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....?
Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi.
1.View attachment 447113
2.
Haya bwana bae wa mieUsjali baby mama
Ujue mtu usipo kuwa unatoa ya moyoni kuna athari za ki afya pia
Kumbe ndo hawa malayaBaada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....?
Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi.
1.View attachment 447113
2.