Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

Bahati nzuri huwa sichangiagi mada za kishenzi shenzi kama hizi... Samahani kama ntakua nimepotea jukwaa...

kwenye utafiti wa kila watanzania wa nne.... wewe ndio ulikuwa kwenye victim? kweli haujachangia
 
Tatizo wote hakuna chura hapo alafy ivi hapo alipo Tunda syo Landmark mbz africana kwel hapo
 
Usiombe ukaliwe na rubi hata kwenye mkono tu

Ana matako magumu haswa kuliko mitungi ya gesi
 
Daaa hapa hua ndio nashindwa kuelewa[emoji23][emoji23]

Wadada vimodel wasio na [emoji196] hua wanawawakandia wenzao walio na [emoji196]

Katika hizi picha Tunda na Ruby wote hawana [emoji196] ila wamebinua viuno juuu[emoji6] ili tuone nao wana [emoji196] [emoji196] (kwa hiyo wanapenda kua na [emoji196] japo unaweza kuta wakiwakandia wenye [emoji196] [emoji196] eg. Masogange, Ambar lulu, Gigy, Nai huddah) [emoji3] [emoji3]

Conclusion:
Wanaume zaidi ya 90% wanapenda wanawake wenye [emoji196] [emoji196]

Wanawake zaidi ya 75% wanapenda kua na [emoji196] au kuendelea kua na [emoji196]

Swali:
Kazi ya [emoji196] ni nini?

My Take:
Watanzania wengi kwa sasa bila kujali itikadi ya vyama vyao, hali ya uchumi, elimu zao, makabila yao kwa pamoja wanapenda [emoji196] [emoji196]

×××××××××××××××××××
Mimi napenda misambandwa
 
Wamejitahidi kweli kubinuka lakin wapiii..
Kama ipo ipo tu hakuna haja ya matangazo.
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia vibaya kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Ahahahahhahahahahahhah
 
Usiombe ukaliwe na rubi hata kwenye mkono tu

Ana matako magumu haswa kuliko mitungi ya gesi
Ha,ha,haaaa.....
Sipat picha akimkalia mpenzi wake maumivu anayoyapata mana si kwa vifupa hvyo.
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia vibaya kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Mzee wa namna rais wa marekan anavopatikana una fitina sana hahaha,natania tu
 
Nina uhakika huyu Ruby umri wake ni zaidi ya miaka 30....haiwezekani kwa binti wa umri kuwa na uso usiovutia hata kwa make up
 
Wanapenda kuonesha vimigongo vyao sijui huwa wanatowaga migongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…