Msaada Naomba Data recovery

File gani zilizopotea mkuu?

Jaribu softwares hizi

1. Recuva
2. Data Recovery Tool
3. Recover It
4. Wondershare Data Recovery nk
Unaweza ukanipa link ambayo niko download nioate ambayo iko na key?
 
Data zipo kwenye kifaa kipi?
Flash Drive, memory card, Hard disk….?
Nini kilitokea…Data zilifutwa au kifaa kili corrupt ?
 
Sawa, angalia kwenye local disk C, kama kuna folder limeandikwa windows old? Kama hamna nambie nikuelekeze ku recovery data zako
Poa Mkuu ndio inarudi home sasa
 
Inategemea hizo data zako zimepotea kwa mazingira gani.

Yapo mazingira ambayo sio rahisi ku retrieve hizo data.

Hizo software ambazo umepewa kama suggestions zote zina dili na data zilizopotea kwa mfumo wa delete au format.

Lakini kama data zako zilikuwa wiped hiyo haitoi chance ya kuweza kuzirudisha.

Kwa hiyo ni vyema ukalijua hili mapema ili baadae usione kama software ulizotajiwa hazifanyi kazi.
 
Nime recover lakini zote hazifunguki hasa audios sijui kuna namna ya kuzi repair?

Leo siku nzima nimehangaika namna ya kuzi repair ili zi play lakini hola
 
Nime recover lakini zote hazifunguki hasa audios sijui kuna namna ya kuzi repair?

Leo siku nzima nimehangaika namna ya kuzi repair ili zi play lakini hola
Zilifutika au zilikuwa corrupted?

Na zilikuwa corrupted na virus au?
 
Zilifutika au zilikuwa corrupted?

Na zilikuwa corrupted na virus au?
Zilifutika kuna dogo ali load windows na aka format kila kitu, of course viruses walikuwepo sana nime recover data lakini hazifunguki. Je kuna data repair software? Hasa ya audio
 
Zilifutika kuna dogo ali load windows na aka format kila kitu, of course viruses walikuwepo sana nime recover data lakini hazifunguki. Je kuna data repair software? Hasa ya audio
Umetumia software gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…