Mpaka dakika hii mwenzenu sielewi dhana ya form za kugombea nafasi ya uspika kutolewa kwenye ofisi ya CCM.
Mimi dhana yangu ni kwamba ukishakuwa mbunge wa chama fulani nafasi yeyote ile ya uongozi ikitokea bungeni ni suala la kumuona katibu wa bunge na kuchukua form na kugombea.
Misingi ya kuchukulia hii form kwenye ofisi ya CCM ni ipi. Je mgombea anatakiwa ajaze form ngapi form ngapi.
NANI atazipitia form za CCM na kuziona kama zina makosa? Katibu wa bunge ni mtu muhimu sana inapotokea uchaguzi wa viongozi wa bunge kama spika na naibu spika.
Matokeo yake kunatokea mchanganyiko kama huu tunaouona wa naibu spika kugombea uspika kabla ya kujiuzulu Unaibu Spika.