1. Japo katiba ilitoa haki kwa kila Mtanzania kugombea uongozi wowote toka serikali ya mtaa hadj serikali kuu, haki hiyo imeporwa.
2. Ili kugombea nafasi yoyote ya kisiasa ni lazima udhaminiwe na chama cha siasa.
3. Hizi pilika zote za kugombea usipika unazosikia, fomu zikitolewa CCM, sio fomu za kugombea usipika, ni fomu za kuomba #7udhamini wa CCM kugombea usipika.
4. Kila chama kiko huru kuweka utaratibu wake, na kitamdhamini mgombea mmoja tuu wa nafasi ya spika.
5.Fomu rasmi za kugombea usipika zitatolewa na Bunge Februari 1.
6. Ukweli wa siasa zetu, mgombea wa CCM ndiye spika ajaye.
7. Vyama serious vya upinzani hawatasimamisha mgombea kwenye uspika kwasababu wanajua ukweli, mgombea wa CCM ndie spika, hivyo they don't have time to waste and ressources to compete na mgombea wa CCM.
Swali ni jee CCM itatuletea Spika Bora au Bora Spika, kama kawa?.
P