Msaada; Naomba kueleweshwa kwanini fomu za kuwania Uspika zinatolewa na CCM badala ya Bunge?

Kwa mujibu wa Katiba chama chenye wabunge wengi bungeni ndio hutoka Spika., KWA SASA ELEWA HAPO.
 
Sawa mkuu, kwako wewe yupi na yupi unaona tunaweza pata spika bora.
Shukrani.
Kwenye hiyo list ya CCM, the best of the best ni just one and only
P
 

 
Juwa tu si lazima kuwa mbunge kugombea usipika, sifa kwa sasa ni mwanachama! Hivyo chama ndicho kitapeleka jina la mgombea wake kwa katibu wa bunge!
 
Hakuna sababu ya kuvitia moyo vyama serious vya upinzani kufanya jambo ambalo kwa asilimia 100 wanajua hawawezi kupata. Itakuwa ni kupoteza muda na fedha ambazo zingeweza kufanya mambo mengine yenye faida pia kwa chama
 
Hapo hawaombi uspika, wqnaomba CCM ipendekeze wawe Spika. CHADEMA nao wana utaratibu wao aliotumia Mnyika kwa Vitimaalum 19 kosa lake akasahau washikaji wa Lissu, Nyalandu, na Mbowe.
 
Ni kawaida CCM kutupatia Bora Spika, JYN alikuwa Bora Spika, akiingia Tulia ni Bora Spika. Kwenye list ile kuna fursa ya kumpata Spika Bora !.
P
Umeitaja awamu moja tu na kujumuisha awamu nyingine kuwa zilikuwa na BORA SPIKA... Lakini nyie hao hao maspika wakiwa madarakani huwa mnawasifia. Lakini, pindi wakitoka tu madarakani ndo mnaanza kuona mapungufu ambayo wengine walikuwa wanayasema wakati maspika husika wakiwa madarakani.. AU HUWA MNAOGOPA KUITWA KAMA ULIVYOITWA KAKA PASKALI?

Na wimbi la kumsema aliyetoka madarakani halijaishia kwa hao uliowataja pekee.. Ona nyakati hizi watu wanavyoponda awamu ya tano hasa kumponda mtu mmoja tu... Hata wale waliokuwa wanamsifia siku hizi ni kumponda kwa kwenda mbele
 
Hoja #7 umemaanisha ni must au?
Kama ni must je, ni kwasababu ya uwingi wa wabunge wa CCM bungeni, vyombo vya Dola au ni kwasababu ya katiba kwamba inaipa CCM favor yote?
 
mambo mengine unauliza tu ndugu zako kazini badala ya kujaza seva. mbona huulizi kwa wagombea ubunge au urais
 
Mimi nilianza ku comment kumhusu Bora Spika tangu akiwa Naibu Spika

Bora Spika alipochukua fomu kuomba uspika pia nilimandika
P
 
Hoja #7 umemaanisha ni must au?
Kama ni must je, ni kwasababu ya uwingi wa wabunge wa CCM bungeni, vyombo vya Dola au ni kwasababu ya katiba kwamba inaipa CCM favor yote?
Huu ndio ukweli wa the political dynamics ya siasa zetu, CCM ni chama dola.
P
 
Nimekuelewa
 
 
Kila chama kinapeleka bungeni mgombea mmoja.Lakini ukweli ni kwamba ukipitishwa na ccm utakuwa spika maana wapiga kura ni wabunge was ccm
 
Ni yale yale,,,, sisiemu ndio itatoa spika ni kama vile tunavoamini kuwa mgombea wa ccm ndio atakuwa Rais ajaye wa jamuhuri ya muungano.
 
Si tuliambiwaga unachia kwanza ili uombe huku kwenye siasa.zamani walikiwaga wakwenda likizo za bila malipo.That is it.
 
Pascal Mayalla leo umenifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…