lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ubarikiwe sana Mkuu1. Dar Ceramica pale karibu na Clouds kwenye daraja la Jkt..
2. Inara ceramics hapo Makumbusho
AsanteNgoja waje kukupa muongozo...
Ila Posta town na Kko yapo...
Sidhani kama maduka yote ya tiles yanauza Spanish tilesHakuna haja ya kuangaika, ingia duka lolote la tiles, na uangalie tiles zilizotoka/kutengenezwa hispania
1. Dar Ceramica pale karibu na Clouds kwenye daraja la Jkt..
2. Inara ceramics hapo Makumbusho
Asante sanaDar Ceramika wapo K'koo pia wana branches mbili...
CTM pale roundabout mkono wa kulia uelekeo wa Mbezi Beach au maeneo ya Airport...
Pia nishawahi ona Taha ile ya K'koo nayo inauza mzigo wa Spain...
Hata hivyo Indian tiles nazo ni nzuri tu
Asante sana Mkuu,Mungu akubariki saana.Taha ceramic wapo posta ya zamani roundbaout ya kwenda nkurumah na Africana baada ya mataa kuelekea baharini
Espaniola ceramica wapo mwenge ITV junction kuna ghorofa jipya rangi ya kijivu lina madirisha ya vioo pia wapo mikocheni warioba mkabala na shule ya DIS
Spanish tiles hawa wanaongoza kwa bei kubwa ya kutisha wapo victoria.
Swahili ceramics wako Changombe kona ya mbozi road kuna ghorofa liko kama showroom ya tiles na mabomba
Dar ceramica wapo mikocheni mlalakuwa kabla ya JKT makao makuu pia wapo mikocheni warioba kwenye fremu za wapemba. Na eneo la warioba tuu kuna wauzaji wa tiles kama wanne.
Mbezi beach Africana kabla ya Benki ya BOA wanajiita SSL wapo pia Mikocheni Heineken kabla ya shule ya Feza primary.
Jipange mzee Spanish square metre moja inaanzia 55 elfu kuendelea
Hizi ni mpauko Ila wanajitajidi kiasi kuliko goodone na goodwill!!!Naskia pwani kama sijakosea kuna kiwanda cha tiles kinaitwa tywford. Naomba mwenye contacts zao anisaidie. Hizi spanish zitanitoa roho kwa kweli