Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 331
- 383
Asante kiongozi kwa ushauri. Nitajaribu kumshauri ahame kozi hata mimi naona kwenye chemistry kuna ajiri nyingi sana hukilinganisha na biology. Kuhusu ufaulu sina shakha kabisha kafaulu vizuri.Kwa ushauri wangu, ingawa sio wakitaalamu sana, kama ufaulu wa Chemistry upo vizuri, akifika afanye kuhamia BSc. Chemistry. Ni rahisi kuhama kwasababu kozi zote mbili zipo ndani ya College moja.
College anayoenda ni College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS). Kozi za hapo ni:
Hahahahaha 😁Utakua Mwalimu there is no Way
Duh! Hahahahaha 😁Utakua Mwalimu there is no Way
Kuna watu wanaweza wasikuelewe, lakini huo ndio ukweli halisi, japokuwa ni mchungu. Akisoma Diploma ya Nursing anaweza kutoboa fresh kuliko akikazana na hizo vitu ingine.hawa watoto wanapenda sana kupoteza Muda,,, Aachane na huo upuuzi asome diploma ya Nursing . Over
Kuna watu wanaweza wasikuelewe, lakini huo ndio ukweli halisi, japokuwa ni mchungu. Akisoma Diploma ya Nursing anaweza kutoboa fresh kuliko akikazana na hizo vitu ingine.
Lakini kiongozi nimepata fununu ya kuwa mtu ambaye kasoma Bsc biology au chemistry au physics ana qualifications za kwenda popote kwenye sekta ya afya ikiwemo MD, nursing, pharmacy.....so hakuna haja ya kurudishana nyuma kuanza diploma kama una lengo la kusoma degree. Tena sio tanzania tu nchi zote wanafanya hvyo.Bsc biology huyu siyo mwalimu hana education anatakiwa aende sijui hata wapi sijui mambo gani ambayo huku tz ni ngumu fanya utafiti vizuri mkuu angeenda dip ya nursing
narudia tz ni ngumu sana pia fanya utafiti wa kutosha...kuna thread huku ya mtu wa Bsc physics itafute hizo fununu kuwa huenda si kweliLakini kiongozi nimepata fununu ya kuwa mtu ambaye kasoma Bsc biology au chemistry au physics ana qualifications za kwenda popote kwenye sekta ya afya ikiwemo MD, nursing, pharmacy.....so hakuna haja ya kurudishana nyuma kuanza diploma kama una lengo la kusoma degree. Tena sio tanzania tu nchi zote wanafanya hvyo.
Nina ushahidi na ninachokiongea jaribu kuangalia entry requirement utajionea mwenyewe chuo kama muhas, kcmco, cuhas, st francis.....narudia tz ni ngumu sana pia fanya utafiti wa kutosha...kuna thread huku ya mtu wa Bsc physics itafute hizo fununu kuwa huenda si kweli
Lakini kiongozi nimepata fununu ya kuwa mtu ambaye kasoma Bsc biology au chemistry au physics ana qualifications za kwenda popote kwenye sekta ya afya ikiwemo MD, nursing, pharmacy.....so hakuna haja ya kurudishana nyuma kuanza diploma kama una lengo la kusoma degree. Tena sio tanzania tu nchi zote wanafanya hvyo.
Kwa hiyo mkuu, unataka kusema "Ndugu yako asome Miaka 3, then aombe kwenda Degree yoyote ya Afya?"" Kwa hiyo hiyo Miaka mitatu atakuwa ni kama alikuwa anakua tu kiumri na kiakili??Lakini kiongozi nimepata fununu ya kuwa mtu ambaye kasoma Bsc biology au chemistry au physics ana qualifications za kwenda popote kwenye sekta ya afya ikiwemo MD, nursing, pharmacy.....so hakuna haja ya kurudishana nyuma kuanza diploma kama una lengo la kusoma degree. Tena sio tanzania tu nchi zote wanafanya hvyo.
Kwa hiyo unataka kupiga Bsc Biology ili uje uende Md?Nina ushahidi na ninachokiongea jaribu kuangalia entry requirement utajionea mwenyewe chuo kama muhas, kcmco, cuhas, st francis.....
Umetisha bro ushauri mzuri sana.Kwa hiyo mkuu, unataka kusema "Ndugu yako asome Miaka 3, then aombe kwenda Degree yoyote ya Afya?"" Kwa hiyo hiyo Miaka mitatu atakuwa ni kama alikuwa anakua tu kiumri na kiakili??
Embu pima pia na kama angeitumia hiyo Miaka Mitatu kusoma Diploma ya Pharmacy au Nursing au Radiology au Clinical officer (hii Miaka mitatu akimaliza anaweza kuajiriwa, na Baada ya Miaka kadhaa akarudi kujiendeleza tena huku akiwa na Mshahara wake na pengine akiwa kapanda daraja la Mshahara kabisa).
Au Labda unataka hiyo Miaka 3 aitumie kula Bumu la Serekale[emoji23]...akimaliza[emoji134]...nimekumbuka kitu..ANAWEZA KUSOMA HIZO KOZI ALIZOCHAGULIWA, AKIMALIZA AKASOMEE MASTERS YA MAMBO YA AFYA (kuna Masters za microbiology etc kutoka Vyuo vya Afya) halafu baada ya hapo kama kuna njia ya kupata ajira huko anaweza kupata (Hii nakutaka ufatilie, uulizie..inaweza kuwa nzuri pia)
Ila pia kama kwenu mna mshiko, pia Dogo anaweza kusoma hizo Kozi alizochaguliwa, ale boom, afaulu vizuri, baada ya hapo ajiunge tena na Degree za afya mumlipie Ada, amalize fresh (future kwake iwe green)...Hii nayo nzuri kwa wenye Hela.
TAFAKURI .
Ndio huwenda ikawa poa zaidi kwa sababu Bsc biology ni pre medical field.Kwa hiyo unataka kupiga Bsc Biology ili uje uende Md?
hahahahNdio huwenda ikawa poa zaidi kwa sababu Bsc biology ni pre medical field.
Mbona alifaulu vizuri tu...Alikosa hata Degree ya Medical Lab CUHAS, KCMC? Alikosa hata Bsc Nursing??? Alikosa Bsc Pharmacy, Nursing St John????Umetisha bro ushauri mzuri sana.
Kwa sasa dogo ana ufaulu wake ni mdogo 2.10 PCB, so imekuwa ngumu kwenda direct to the field that he love.
Ukiangalia diploma 3 pia degree 3 wote ni sawa kwa miaka ya kukaa shule.
Competition diploma to degree competition huwa kubwa sana anaweza kupotesa pesa kama alivyopotesa mwaka huu. Pia GPA za NACTE kuzipata ni shida kidogo .
Na ukiangalia degree atakuwa na chance kubwa kuchaguliwa kwa sababu waombaji degree to degree ni wachache vyuo kama muhas na kcmco hawatakuacha.
Hapo nahisi changamoto labda pesa lakini kama maandalizi ya kiwa vizuri haitasumbua.