Kwa hiyo mkuu, unataka kusema "Ndugu yako asome Miaka 3, then aombe kwenda Degree yoyote ya Afya?"" Kwa hiyo hiyo Miaka mitatu atakuwa ni kama alikuwa anakua tu kiumri na kiakili??
Embu pima pia na kama angeitumia hiyo Miaka Mitatu kusoma Diploma ya Pharmacy au Nursing au Radiology au Clinical officer (hii Miaka mitatu akimaliza anaweza kuajiriwa, na Baada ya Miaka kadhaa akarudi kujiendeleza tena huku akiwa na Mshahara wake na pengine akiwa kapanda daraja la Mshahara kabisa).
Au Labda unataka hiyo Miaka 3 aitumie kula Bumu la Serekale[emoji23]...akimaliza[emoji134]...nimekumbuka kitu..ANAWEZA KUSOMA HIZO KOZI ALIZOCHAGULIWA, AKIMALIZA AKASOMEE MASTERS YA MAMBO YA AFYA (kuna Masters za microbiology etc kutoka Vyuo vya Afya) halafu baada ya hapo kama kuna njia ya kupata ajira huko anaweza kupata (Hii nakutaka ufatilie, uulizie..inaweza kuwa nzuri pia)
Ila pia kama kwenu mna mshiko, pia Dogo anaweza kusoma hizo Kozi alizochaguliwa, ale boom, afaulu vizuri, baada ya hapo ajiunge tena na Degree za afya mumlipie Ada, amalize fresh (future kwake iwe green)...Hii nayo nzuri kwa wenye Hela.
TAFAKURI .