Msaada: Naomba kujua kuhusu course ya Bachelor of Science in Biology’ kuanzia kwenye usomaji hadi kupata kazi

Kidogo umenichanganya ya requirement ya MD ni pamoja na Bsc Biology?mbona hapo pia anapoteza muda yaani asome Bsc Biology miaka let's say 3 then akafanye tena MD mi 5 na Internship mwaka1!
 
Ndio huwenda ikawa poa zaidi kwa sababu Bsc biology ni pre medical field.
Kaka hii kitu haipo hapa bongo! Huwezi kusoma MD eti kisa una bachelor of science in biology! Hapo kama atapata MD ni yatakua ni matokeo yake ya form six yamembeba na sio hio bachelor yake!

Labda huko nje nchi za wenzetu napo sina uhakika Sana! Leta ushahidi kama unabisha!
 
Kidogo umenichanganya ya requirement ya MD ni pamoja na Bsc Biology?mbona hapo pia anapoteza muda yaani asome Bsc Biology miaka let's say 3 then akafanye tena MD mi 5 na Internship mwaka1!
Yeah ni kweli vyuo vyote vipo hivyo. So ujue hivi vitu vinaendana na moyo wa mtu huwezi jua ishalah Mungu anaweza msaidia
 
Attachments

Io waliweka ata mwaka 19/20 na kuna watu wali apply nawajua lkn awakupata na ninahisi mwaka huu wameitoa ...sikushauri mzee u take io risk kama vipi piga io Bsc lkn piga na masters ubaki chuo hapo
 
Nina ushahidi na ninachokiongea jaribu kuangalia entry requirement utajionea mwenyewe chuo kama muhas, kcmco, cuhas, st francis.....
Sasa Kama mtu anasoma Bsc In Biology Miaka mitatu ili lengo aje asome Afya mfano MD 5yrs, Au Nursing 4yrs kwanini asisome Diploma yoyote ya Afya sahv!!

Aseeh kichekesho Sasa unaweza kamata Mwanafunzi wa Mwaka was kwanza hiyo Programme ukamuhoji Field unafanyia wapi anakwambia hata sijui tunafanyia wapi!! Kama hataweza kuhamia Chemistry nashauri tu akamate Diploma yoyote ya Afya hapohapo UDOM!! Hatajuta!!!
 
Ebu tuambie akimaliza anafanya fanyaje awe MD.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kidogo umenichanganya ya requirement ya MD ni pamoja na Bsc Biology?mbona hapo pia anapoteza muda yaani asome Bsc Biology miaka let's say 3 then akafanye tena MD mi 5 na Internship mwaka1!

useng.e
 
Asante kwa ushauri
 
Mwana UDOM naona umedadavua vyema.....Bila shaka ni Kijana wa Makangara ,Shija na Mzee wa Cafe ya Mwarabuu.UDOM oyeeee
 
Huyo muache analeta ujuaji mkuu.
Kashauriwa hapo vizuri tu bado analeta kujua.
We nchi hii usome Bsc. biology alaf utakuwa nani?
Hiyo college (kwa UDSM) nimesoma mimi miaka kadhaa iliyopita, hiyo kozi haikuwa na mtu, nakumbuka watu wa Botany science ndo walikuwa wawili tu, chemistry walikuwa wengi.

Bsc. In biology msoto wake ni uhakika sio jambo la kuuliza.
Kama unaona mpaka UDSM wameondoa hiyo ujue wana feedback nyingi namna ambavyo wamechangia kuwapotezea watu muda
 
Asante kwa ushauri.
 
Pia udsm alichaguliwa hiyo botanical science tukamwelekeza aende bsc biology udom.
Lakini kiujumla kadri mlivyoshauri nimeona jambo la wengi wame proposal haamie bsc chemistry nayo ni nzuri pia tutafanyia kazi ushauri.
 
Kidogo umenichanganya ya requirement ya MD ni pamoja na Bsc Biology?mbona hapo pia anapoteza muda yaani asome Bsc Biology miaka let's say 3 then akafanye tena MD mi 5 na Internship mwaka1!
Miaka yote hiyo kwa kutafuta salary ya 1.45 mill.
Aache ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…