Msaada: Naomba kujua kuhusu course ya Bachelor of Science in Biology’ kuanzia kwenye usomaji hadi kupata kazi

Kiongozi nataka nikuhulize swali kwhyo hakiamia diploma udom utaratibu upoje wa kuama kwend diploma in medical laboratory alf vipi boom anachana nalo maana kapata au inakuwaje
 
Mwenye kujua jinsi ya kuama bachelor to diploma Udom anipe utaratibu tafadhari
 
Utasikia

"Mimi diploma siwezi kusoma"
"siwezi Acha boom nikasome diploma"
"Wenzangu wanasoma ngazi ya digiriii Mimi diploma hapana Bora nibakie nyumbani mwaka mzima"

na mengineyo kama hayo

Halafu mizinga kwa ndugu haiishi, shenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…