Msaada: Naomba kujulishwa Mazoezi gani mazuri bila kuenda Gym

Msaada: Naomba kujulishwa Mazoezi gani mazuri bila kuenda Gym

Pushap 50 unazijui au unaziskia tu?
Push up unapiga set 10 ambapo set ya kwanza unapga 50 ya pili 60 ya tatu 70 ya nne 80 ya tano 90 ya sita 100 kisha ya saba unashuka unapiga 90 ya nane 80 ya tisa 70 ya kumi 60
 
KUOGELEA, KUTEMBEA KWA MIGUU, JOGGING NA LILE LA KWENYE SITA KWA SITA
Mazoezi yapi yanaweza kubadili mwonekano WA umbo lako hasa kwenye kifua,tumbo na mikono.

Bila kwenda gym maana nipo mbali na mji........
 
..hakuna zoezi murua linalohusisha viungo vyote vya mwili kama kumkaza demu....tena umkute demu anayekata viuno kama makonde na makua hilo ni zoezi tosha Na lenye afya sana...kwa wote....
 
Duh hongera zako kiongozi



Ila nyinyi watu wa mazoez mnakera sehem moja tu yaani sionagi faida yenu hata kidogo coz mnaweza kumuona mtu kavamiwa na mateja(anakabwa) halaf chakushangaza bila mshipa wa aibu hamuendi kutoa msaada

Kama vipi ni bora muaache tu coz hayo mapushap yenu hayana msaada kwa jamii
Kwani we unatakaje ss
 
Back
Top Bottom