Msaada: Naomba kujulishwa Mazoezi gani mazuri bila kuenda Gym

Pushap 50 unazijui au unaziskia tu?
Acha uvivu.. Auwezi anza na pushap 50 moja kwa moja, anza kupiga pushap 5 then unapunzika kama sekunde 10 hivi, alafu unanza tena fanya hiv kwa round sita unakua umepiga pushap 30. After week unaweza ukaongeza round badala ya round sita unaenda nane.. Hivyo hivyo mpaka unaweza timiza 50
 
Hizo mi napga kwa mkono mmoja
 
Unataka kujaza paja au ugoko?,
Kuongeza Misul na ukubwa wa Paja sio tatizo, Ila Kama una ugoko Kama mirija ya Juice Hakuna Mazoezi ya kuongeza wee vaa misuli na Vikoi ukichoka suruali
 
Daah! Eshima yako mkuu wengine ni mtiani huo, mkuu nataka nijaze mguu walau nitambe na pensi mtani ni mazoezi ya haina ipi nifanye..?
Njoo pm ntakuelekeza zoez la squat utakata mguu ndani ya wk moja ila uwe mvumilivu wa kuyavumilia maumivu
 
Mazoezi yapi yanaweza kubadili mwonekano WA umbo lako hasa kwenye kifua,tumbo na mikono.

Bila kwenda gym maana nipo mbali na mji........
Hizo ni moja wapo anza na hizo, ukiweza nitafute nikupe nyingine.
....
Hapo hakuna gender is just gif images.
 

Attachments

  • Full Sit up Crunch.gif
    106.2 KB · Views: 80
  • Abdominal-V-Crunch.gif
    144.1 KB · Views: 70
  • Vertical-Leg-Crunch.gif
    88.8 KB · Views: 195
Mazoezi yapi yanaweza kubadili mwonekano WA umbo lako hasa kwenye kifua,tumbo na mikono.

Bila kwenda gym maana nipo mbali na mji........
Bonyeza username yangu, halafu cheki threads nilizowahi kuzianzisha. Naamini zitakusaidia
 
Nadhani kutembea ni mazoezi bora tunayoweza kufanya bila kwenda kwenye kituo cha mazoezi ya mwili
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…