Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

PromiseLand

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2021
Posts
298
Reaction score
413
Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani.

Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili nifanye maamuzi.

Asante.
 
Back
Top Bottom