Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Kiwanja miguu 26*27 kwa fensi fundi anaweza chaji bei gani, wataalam msaada kwenye hili, PRONDO pita huku
 
Mimi niliweka Mchina grade one, 50*50 mwaka wa pili huu zipo vile vile.
Prondo Kiwanja miguu 26*27 kwa fensi, fundi anaweza chaji bei gani, bila kupiga plasta ni atachorea tu zile tofali na kuweka mkanda juu, wataalam wengine msaada kwenye hili, Prondo pita hapa boss
 
Prondo Kiwanja miguu 26*27 kwa fensi, fundi anaweza chaji bei gani, bila kupiga plasta ni atachorea tu zile tofali na kuweka mkanda juu, wataalam wengine msaada kwenye hili, Prondo pita hapa boss
Hapo mlipe kwa tofali(kujenga tofali moja 300-400), mkanda mtakubaliana.
 
Kaniambia ni tofali 4116? So nipige mara 300 sio, je msingi nitakadiriaje?
Fence pasua kichwa kweli. Hapo ina maana kwa tofali ni kama 1.2m negotiate nae isizidi 1m. Usimtajie hesabu ya tofali. In case akitoa quotation kuzidi 1.2m mpe bei elekezi Kwa tofali.
Msingi kama ukuta tu.
 
Nashukuru mzee, alishaanza kunipa bei za milion 3.4 [emoji23][emoji23],
 
Fence pasua kichwa kweli. Hapo ina maana kwa tofali ni kama 1.2m negotiate nae isizidi 1m. Usimtajie hesabu ya tofali. In case akitoa quotation kuzidi 1.2m mpe bei elekezi Kwa tofali.
Msingi kama ukuta tu.
Nimekucheki PM boss,
 
Sama white emulsion sio enamel mkuu , ni ya mafuta
 
Rangi minimum 2.5m hahahahahaha hivi we umejenga kweli au unaropoka tu??
 
Acha kuropoka wewe. Ana madirisha 11 grill moja kaambiwa 150,000 jumla ni 1,650,000.
Nyinyi ndio huwa mnajisifu nimejenga nyumba ya 100m mtu akiangalia haoni cha 100m kumbe umepigwa tu.
Hahahahaha jamaa sound sana, anakwambia ripu 2.5 hahahahaaha

Alafu na rangi minimum 2.5m hahahaha jamaa fix sana sijui kama kajenga kweli au ndio mambo ya JF kila mtu mmiliki wa nyumba..
 
Dada ametoa mtiririko sahihi. Fanya plumbing,wiring,blundering,fremu za milango, weka grill,rough floor halafu piga plaster,piga rangi,weka vyoo,madirisha ya wavu,milango hapo ukiamua unahamia.
una weza kufanya wiring kabla ya blundering?I though wakati wa wiring nyaya nyingi zinaapita juu. Ufafanuzi tafadhali
 
una weza kufanya wiring kabla ya blundering?I though wakati wa wiring nyaya nyingi zinaapita juu. Ufafanuzi tafadhali
Unaweza kwasababu wire zinalala kwenye mbao za paa.
 
Unaweza kwasababu wire zinalala kwenye mbao za paa.

Shukrani sana mkuu.

Mimi nina kibanda changu nakijenga na nimepiga paa, nimeweka grills, na nimeweka frames za milango yote. Kwa sababu nafanya kidogo kidogo huu uzi utanisaidia sana.

Hapo natafuta few steps that are easy todo nizifanye mdogo mdogo hasa hasa wiring and plumbing and blundering. Shukrani
 
Amani iwe kwenu wakuu
Naomba msaada, setting room yangu inaukubwa wa 5×6=sq30 naomba mwenye designing nzuri ya blundering aweke hapa nifanye maamuzi.
 
Amani iwe kwenu wakuu
Naomba msaada, setting room yangu inaukubwa wa 5×6=sq30 naomba mwenye designing nzuri ya blundering aweke hapa nifanye maamuzi.
ingia pinterest.com jamaa wana idea nyingi mnoo unachagua mwenyew
 
mkuu naomba unisaidie garama ulizo tumia maake mwenye na rquirement kama zako fundi kanipa estimation mhh hatree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…