Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Hilo ni dirisha tu. Grill nayo inategemea unaweza kupata kwa 120,000-200,000 inategemea na flat bars za 4mm au 6mm na urembo uliowekwa. Kifupi grill na dirisha inaweza kuwa 400,000/-
Haupo mbali sana mbaba, maana kijana wa grill alitaka nimpe 150k na dirisha la aluminium ni 230k
 
Tiles inategemea unataka Spanish au Mchina.
Mchina grade 1 sitting room 50*50 ndio zinapendeza box moja 30,000-35,000/- box moja sqm 1.5. Sitting room yako 20sqm utahitaji 14boxes ambayo ni 490,000/-.
Fundi anachaji sqm moja 5,000/-
Kati ya spanish na mchina which one is better mkuu
 
Tiles inategemea unataka Spanish au Mchina.
Mchina grade 1 sitting room 50*50 ndio zinapendeza box moja 30,000-35,000/- box moja sqm 1.5. Sitting room yako 20sqm utahitaji 14boxes ambayo ni 490,000/-.
Fundi anachaji sqm moja 5,000/-
Kuzijua grade husika unahitaji nini kuangalia na kuzitambua, na Spanish na mchina utofauti upoje mkuu
 
Wiringi ni nini mkuu
 
Kuzijua grade husika unahitaji nini kuangalia na kuzitambua, na Spanish na mchina utofauti upoje mkuu
Maduka ya kariakoo huwezi kukuta Spanish kuna mchina tu. Nenda maeneo ya Victoria pale au Mwai Kibaki karibu na daraja la mlalakuwa utaona maduka ya spanish tiles.
 
Tembelea maduka wewe mwenyewe. Tronic nzuri. Kwa nyumba zetu watu wa chini huwezi kuwaepuka wachina ila unaangalia mchina kiwango kizuri kidogo. Tembelea maduka ya Kariakoo mwenyewe utajua bei.
Tronic[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Maduka ya kariakoo huwezi kukuta Spanish kuna mchina tu. Nenda maeneo ya Victoria pale au Mwai Kibaki karibu na daraja la mlalakuwa utaona maduka ya spanish tiles.
Poa mbaba....... How to differentiate spanish & mchina
 
Mkuu, tumia hela yako kwa mtiririko ufuatao:
1. weka grill madirishani na milango ya nje;
2. weka milango ya mbao ya nje;
3. blundering;
4. wiring;
5. plumbing;
6. Floor;
7. Plaster ya ndani;
8. Mashimo ya vyoo

Hapo ata ukikurupushwa unaingia ndani kiugumu ugumu
 
Poa mbaba....... How to differentiate spanish & mchina
Ninaweza kukupa makadirio yako yote lkn nitahitaji kujua uko mkoa gani kwani kila mkoa una bei tofauti na mwingine.
Aina ya finishing..hii ndio huleta tofauti, mnaweza mkawa na nyumba zenye ukubwa sawa lkn mkatofautiana gharama, hii inatokana na mahitaji ktk finishing yako.
***SIO KILA FINISHING NI "FINISHING"

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…