Msaada: Naomba makadirio ya hizi nyumba

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU.

PICHA NUMBER 1

PICHA NUMBER 2

Natanguliza shukranii
 
Kuna watu wamesomea haya mambo chuoni kwa miaka 4 mpaka 5... watafute wakupe mwongozo.

NB: Huwezi toa makadirio kwenye picha, ingekua mchoro wenye vipimo hapo sawa.
 
Kuna watu wamesomea haya mambo chuoni kwa miaka 4 mpaka 5... watafute wakupe mwongozo.

NB: Huwezi toa makadirio kwenye picha, ingekua mchoro wenye vipimo hapo sawa.
thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…