Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Habari zenu wakuu,

Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi.

Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa wenye uzoefu
 
Hizo download haziakisi kiasi utakacholipwa bali ni active installs na idadi ya muda watu wanaspendi kwenye app yako, je wanaona ads ngapi?

Quality ya ads mfano banner RPM yake ni ndogo kuliko interstitial, open app na native. Pia ads frequency inaathiri revenue, mfanya ukiset ads frequency kubwa (ads zinadispay mara kwa mara au mara nyingi ndani ya muda mfupi) RPM indrop.

Pia admob ina mambo mengi kuna kupigwa restrictions, warnings, suspension na bans be careful. Pia admob kuverify postal adress ni kasheshe (mimi nilifogy kuweka p.o box kwenye bank statment ilikua ni pdf sasa pale kwenye customer info zangu hakukua na p.o box na google ndio wanataka hio p.o box mbona niliedit na ikapita).

Pia admob haisupport lugha ya kiswahili au lugha yoyote ya asili ya kiafrika wakati account yangu ilipigwa ban na google kiswahili walikua hawa accept sijui sasa hivi.
 
Asante kwa haya machache uliyoshea nasi nimepata kujua mawili matatu
 
Payment Huwa sio kwa sababu ya download , wanalipa kwa ads impression so kuwa na watu 1k sio issue issue ni je hao watu Wana tumia app na wanatumia kwa kiasi Gani, ndio maana saizi app zinazo lipa sokoni ni game app sababu user anakaa sana kwenye App kitu ambacho kina pelekea awe ana view ads nyingi kwa siku ,

Ukiwa na App unaweza Kuta una download 100k lakini daily user 100 , wengi unakuta wali download Waka ifut so number ya download inakua kubwa kuliko watumiaji.
 
Back
Top Bottom