Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari wana jukwaa

Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?

Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.😂😂..(Joke)

Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu😂😂
 
Ji keep busy na masomo na jiongezee majukumu mengine, mfano tafta kibizness cha kufanya pia fanya ibada sana.
 
Mapenzi ya aina moja au mbili...dunia inaenda kasi.... Ya kawaida ni sawa tu ndio unapata your child sweetheart.....
 
Uachane na mapenzi then ufanye mambo yapi ya msingi huko chuo? Kama akili inaonesha tayari hauna isipokuwa ngono na starehe..

Acha ujinga dogo fanya kilichokupeleka chuo and then hilo buum mnalochezea ipo siku tutalidai..
 
We vipi unahisi wote wanaokula bata chuo wana Boom?...wengine wana bet wengine wana mishe zao Swala la Kula bata Boom labda enzi zenu ndio mlikua munaamini wenye Boom ndio wala Bata
 
Habari wana jukwaa

Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?

Msaada kwa kweli nauhitaji,nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.[emoji23][emoji23]..(Joke)

Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu[emoji23][emoji23]

Mimi nilikuwa sipendi kusoma wakati nipo chuo na wala sili bata ila mpk namaliza chuo sikuwahi kuwa na mahusiano ya chuo na vi wanafunzi

Kutokuwa ama kuwa na mahusiano chuo ni maamuzi yako binafsi ukiamua utaweza

Sasa jifanye chovyachovya watoto wa chuo 98% ni HIV positive
 
Asante..ila hapo kwenye Asilimia 98 utanitisha sasa ungesema hata 50!😂
 
Ukiamua kupanda mahindi yaliyokobolewa shambani kama yataota kapande Chuoni ni sehem yenye vishawishi vingi sna na muda wa kusoma uko limited usikuwa umekomaa akili vya kutosha kuna upande utakuzid nguvu na utajkuta muda wa kusoma hupati unahangaika na mahusiano wenzako wanasoma kusoma Ibada kupumzika malengo yko kupanga ni kuchagua
 
Habari wana jukwaa

Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?

Msaada kwa kweli nauhitaji,nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.[emoji23][emoji23]..(Joke)

Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu[emoji23][emoji23]
Chuo wewe tayari ni mtu mzima ndio maana huko hakuna anae kufuatilia jamii imekuamini .

Chuoni ni sehemu ya kujifunza matakataka yote yaliopo chini ya jua cos hapo ndipo sehemu sahihi na muda unao wa kufanya hivyo .

Trust me usipo jiachia chuoni katika maisha yako sahau kuja kuwa na muda mzuri wa kufurahia maisha.

Chuoni ni sehemu ya kucheza uwezavyo bila kusahau kilicho kupeleka
 
Back
Top Bottom