Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee tatizo hii course seio ualimu Mkuu!😂Chuo wewe tayari ni mtu mzima ndio maana huko hakuna anae kufuatilia jamii imekuamini .
Chuoni ni sehemu ya kujifunza matakataka yote yaliopo chini ya jua cos hapo ndipo sehemu sahihi na muda unao wa kufanya hivyo .
Trust me usipo jiachia chuoni katika maisha yako sahau kuja kuwa na muda mzuri wa kufurahia maisha.
Chuoni ni sehemu ya kucheza uwezavyo bila kusahau kilicho kupeleka
Habari wana jukwaa
Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?
Msaada kwa kweli nauhitaji,nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.😂😂..(Joke)
Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu😂😂
Hakuna course rahisi mkuu zite ngumu ndio maana uliona tabu kuandika mashairi na kuandika vitabu ukaona ni Bora usome hiyo unayo somaAiseeee tatizo hii course seio ualimu Mkuu![emoji23]
Fuata huu ushauri mkuu, usipofanikisha, uniite mbwa, niko mle kwenye jukwaa la intelijentia nimekaa!Anza nyetoo tu mkuu utakuja nishukuru hata mwajuma akipita unamuona kama Athumani tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Uachane na mapenzi then ufanye mambo yapi ya msingi huko chuo? Kama akili inaonesha tayari hauna isipokuwa ngono na starehe..
Acha ujinga dogo fanya kilichokupeleka chuo and then hilo buum mnalochezea ipo siku tutalidai..
Kwa sababu hizo series zinapunguza testesterone hormone!Anza kuangalia ma series ya kikorea. Utajikuta tu unasahau mademu 😛
Mtoa mada nadhani jibu lako liko hapaUnakomaa chuo af ukirudi mtaani unakosa ajira unabako kugombania remote na beki tatu ndani ya nyumba ya shemeji yako aliemuoa dadaako.
Mjomba, life halina formula, chuo ni sehem ya kwenda kumalizia ujana ili ukija kitaa tayari umekomaa huna tamaa za kijinga kazi ni kutafuta maisha.
Huko chuo piga miti sana, muhimu chunga afya ya mwili na akili. Tofauti na hapo utamaliza af ukija mtaa ukajaaliwa fwedha utaishia kuzimaliza kwenye kuhonga pamoja na malaya maana utakua umeruka stage so uta overcompensate.
Haya mambo ya kusoma.sana ni huko sekondari maana hakuna sup. Maisha siku hizi hayaangalii GPA, ni makonekshen tu
Asante..ila hapo kwenye Asilimia 98 utanitisha sasa ungesema hata 50![emoji23]
HahahaHabari wana jukwaa
Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?
Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.😂😂..(Joke)
Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu😂😂
Wake za watu sumuHabari wana jukwaa
Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?
Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.😂😂..(Joke)
Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu😂😂