THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Nikushukuru sana Mkuu๐Ji keep busy na masomo na jiongezee majukumu mengine, mfano tafta kibizness cha kufanya pia fanya ibada sana.
We vipi unahisi wote wanaokula bata chuo wana Boom?...wengine wana bet wengine wana mishe zao Swala la Kula bata Boom labda enzi zenu ndio mlikua munaamini wenye Boom ndio wala BataUachane na mapenzi then ufanye mambo yapi ya msingi huko chuo? Kama akili inaonesha tayari hauna isipokuwa ngono na starehe..
Acha ujinga dogo fanya kilichokupeleka chuo and then hilo buum mnalochezea ipo siku tutalidai..
Sitaki kuachwa.. nataka niachane na mapenzi elewa hapo mkuuJamba kwa sauti ukiwa nae darasani tena ukiwa unapresent.hakikisha yupo darasani siku hiyo utakuja kunishukuru
Habari wana jukwaa
Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?
Msaada kwa kweli nauhitaji,nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana nitawamaliza.[emoji23][emoji23]..(Joke)
Naombeni msaada kwa kweli maana nitaharibu future yangu bure na kizazi changu[emoji23][emoji23]
Asante..ila hapo kwenye Asilimia 98 utanitisha sasa ungesema hata 50!๐Mimi nilikuwa sipendi kusoma wakati nipo chuo na wala sili bata ila mpk namaliza chuo sikuwahi kuwa na mahusiano ya chuo na vi wanafunzi
Kutokuwa ama kuwa na mahusiano chuo ni maamuzi yako binafsi ukiamua utaweza
Sasa jifanye chovyachovya watoto wa chuo 98% ni HIV positive
hii sichukui๐๐๐๐Mbinu ni moja tuu, kupiga punyeto.
You are real the Great๐Kuwa na mpenzi chuo ni sawa na kujiongezea "MODULE" ya ziada, module ambayo utapiga supp kwa vyovyote vile.
Chuo wewe tayari ni mtu mzima ndio maana huko hakuna anae kufuatilia jamii imekuamini .Habari wana jukwaa