Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

Aiseeee tatizo hii course seio ualimu Mkuu!πŸ˜‚
 
Endelea na mapenzi hadi mwisho wa semista, utadisco na hautarudi mwakani, hivyo mapenzi ya chuo hutayaona tena. Kila la heri mkuu
 
Fata kilicho kupeleka na utunze bikra yako eeh naona form 6 imemwaga watoto
 
Anza nyetoo tu mkuu utakuja nishukuru hata mwajuma akipita unamuona kama Athumani tu
Fuata huu ushauri mkuu, usipofanikisha, uniite mbwa, niko mle kwenye jukwaa la intelijentia nimekaa!

Siku ukiwa tayari kwa mahusiano, andaa 367,000 kisha nifuate PM nikupatie virutubisho tiba!
 
Unakomaa chuo af ukirudi mtaani unakosa ajira unabako kugombania remote na beki tatu ndani ya nyumba ya shemeji yako aliemuoa dadaako.
Mjomba, life halina formula, chuo ni sehem ya kwenda kumalizia ujana ili ukija kitaa tayari umekomaa huna tamaa za kijinga kazi ni kutafuta maisha.
Huko chuo piga miti sana, muhimu chunga afya ya mwili na akili. Tofauti na hapo utamaliza af ukija mtaa ukajaaliwa fwedha utaishia kuzimaliza kwenye kuhonga pamoja na malaya maana utakua umeruka stage so uta overcompensate.
Haya mambo ya kusoma.sana ni huko sekondari maana hakuna sup. Maisha siku hizi hayaangalii GPA, ni makonekshen tu
 
Uachane na mapenzi then ufanye mambo yapi ya msingi huko chuo? Kama akili inaonesha tayari hauna isipokuwa ngono na starehe..

Acha ujinga dogo fanya kilichokupeleka chuo and then hilo buum mnalochezea ipo siku tutalidai..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri kutoka kwa Mkulima wa kilimo cha mvua uko nyamplukano!
 
Mtoa mada nadhani jibu lako liko hapa
 
Tafuta series nyingi za muvi na tafuta vijiwe vya kucheza game (play station).
 
Hahaha
 
Wake za watu sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…