Msaada: Naomba tafsiri ya Ndoto hii

Msaada: Naomba tafsiri ya Ndoto hii

Tafuta pesa uache kuota ndogo za kifedhuli mdogo wangu

Wenye pesa wanaotaga tu check imepotea au ame deposit pesa kidogo Kwa account yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeokoka ila kwa sasa nimerudi nyuma kiimani
1 Yoh 1:8-10

1 Yoh 1:8-10 SUV​

Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu.
 
Natubu ila dhambi nafanya one time time, ila nitajitahidi sana ujana huu tabu
Mathayo 11:12
[12]Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
And from the days of John the Baptist until now the kingdom of heaven suffereth violence, and the violent take it by force.

Keep up the good fight
 
Herbalist Dr MziziMkavu
Msaada pls.

Nimeota Bi Mkubwa kanipa kisu nikakamate kuku nichinje. Ile kutoka nikakuta kuku wengi ila sasa nikawaza kuwakamata kwa kuwakimbiza ni ujinga, nikapata wazo nikae nifanye kama nawapa msosi ili wasogee.

Hapo nikita kisu kushoto kwangu mara kuku mmoja alikuja kushoto na nilimuona kama demu fulani chuo rafiki kiaina sio sana. Nikawa na mbembeleza kwa kumshika shika mabega ili aniamini niingie nae ndani nimchinje.

Kisu sikukiona tena, na nilishtuka.

Niambieni ina maana au tu ni shibe?
Sijawahi amini katika ndoto, we potezea tu huenda kulikuwa na story za kuchinja kuku , hapo kuna story za huyo mdada. Taarifa nyingi kwenye ubongo zikaja kwa wakati mmoja.
 
Herbalist Dr MziziMkavu
Msaada pls.

Nimeota Bi Mkubwa kanipa kisu nikakamate kuku nichinje. Ile kutoka nikakuta kuku wengi ila sasa nikawaza kuwakamata kwa kuwakimbiza ni ujinga, nikapata wazo nikae nifanye kama nawapa msosi ili wasogee.

Hapo nikita kisu kushoto kwangu mara kuku mmoja alikuja kushoto na nilimuona kama demu fulani chuo rafiki kiaina sio sana. Nikawa na mbembeleza kwa kumshika shika mabega ili aniamini niingie nae ndani nimchinje.

Kisu sikukiona tena, na nilishtuka.

Niambieni ina maana au tu ni shibe?
Mama yako anataka uoe ila kuna changamoto hapo ya kupata mchumba.
 
Vile umelala ukiandika hii comment
View attachment 2643761
Picha hazifunguki
Screenshot_2023-06-02-21-39-51-905_com.quoord.jamiiforums.activity-edit.jpg
 
Mimi bado sijajitegemea na sikai na mama yangu ila siku tukikutana soda, chakula na vituvidogovidogo na fix mpaka sometime anajiuliza pesa napata wapi na sina kazi

Basi jitahidi peleka unga kilo hata 2 Na mchele kilo 3 , vijimafuta na mkaa Na mboga kama ni maharage au nyama yaani vitu ambavyo ukipeleka wao kazi yao itakuwa kuandaa chakula tu walee na sio kwenda sokon au dukani kuongeza chochote

Conscious mind ya wazee wamekukumbuka sana mkuu, pengine unawapigiaga simu au laah ila inaonyesha wanahitaji kukuona si hiyo ndoto ni ujumbe tu ambao unakuja automatically na hawajautuma wao

Ndoto umeshika kisu uchinje kuku- kuku anachinjiwa mgeni anapotembelea sehemu walipommis- so wewe ndio mgeni unajichinjiaje? Kuku

Maana yake unatakiwa ujumuike nao chakula Na kukaa nao kidogo then uendelee Na mambo yako

Huyo mwanamke uliyeona unamchinja ni shida tu ndogo ndogo zitakupata mpaka utakapo wavisit wazazi/walezi wako
 
Back
Top Bottom