Msaada: Naomba tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications kwenye ajira portal

Msaada: Naomba tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications kwenye ajira portal

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
 
academic; la saba, form 4, form 6, certificate, diploma, degree, masters, phd

Profession : Cpa-wahasibu,
psptb - procurement
erb - engineer
cisa - tehama
cpb - bankers
tls - wanasheria
 
academic; form 4, form 6, certificate, diploma, degree, masters, phd

Profession : Cpa-wahasibu,
psptb - procurement
erb - engineer
cisa - tehama
cpb - bankers
tls - wanasheria
Procurement hapo umeweka bodi ya manunuzi [emoji1787] sio professional hiyo
 
Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
Hapa vipi? Kama umesoma Bachelor of pharmacy, then your
Academic qualification ni Bachelor degree na Professional qualification ni Pharmacist.

Hivyo hivyo kwa wenye Bachellor of science in agriculture, horticulture, etc. Academic qualification yao ni BSc degree na Professional qualification ni agriculture au horticulture

Kwa digrii nyingine kama Account au laws wajuzi wameweka kizingiti kuwa huwezi kuwa professional accountant au lawyer kama hujapasi mitihani yao hata kama huna digirii ya fani husika.
 
Back
Top Bottom