Hbr Wana JF
Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja.
Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa yangu aliachiwa Shamba kulisimamia ambalo lina ukubwa zaidi ya heka 3.
Jamaa alinijulisha ya kuwa mwenye Shamba analiuza, jamaa alinipatia namba za simu za muhusika nikaongea nae Biashara, baada ya mazungumzo tuliafikiana kwa M.50 ambazo nitamlipa down payment M. 15 hizo zingingine nitamlipa kadili ninavyouza viwanja, ndivyo nitakavyokuwa namlipa.
Sasa kilichotokea baada ya kufikisha M.35 amekuja na kusema anataka kurudisha pesa zangu wakati tayari nimeshauzia watu.
Note: Biashara hii tuliifanya kwa kuaminiana, hatukuandikishiana na Wala hatujawahi kuonana ana kwa ana. Malipo yote yalikuwa yanafanyika kwa njia ya Bank. Je! Kisheria hii imekaaje?