Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Hbr Wana JF

Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja.

Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa yangu aliachiwa Shamba kulisimamia ambalo lina ukubwa zaidi ya heka 3.

Jamaa alinijulisha ya kuwa mwenye Shamba analiuza, jamaa alinipatia namba za simu za muhusika nikaongea nae Biashara, baada ya mazungumzo tuliafikiana kwa M.50 ambazo nitamlipa down payment M. 15 hizo zingingine nitamlipa kadili ninavyouza viwanja, ndivyo nitakavyokuwa namlipa.

Sasa kilichotokea baada ya kufikisha M.35 amekuja na kusema anataka kurudisha pesa zangu wakati tayari nimeshauzia watu.

Note: Biashara hii tuliifanya kwa kuaminiana, hatukuandikishiana na Wala hatujawahi kuonana ana kwa ana. Malipo yote yalikuwa yanafanyika kwa njia ya Bank. Je! Kisheria hii imekaaje?
 
Hapo kama kuna vielelezo vya malipo za kwenye akaunti tunza pia mwambie kuwa eneo limeshauzwa akitaka akulipe fidia zaidi ya aliyopokea mfano akupe 20m kama fidia pamoja na ile 35m ili ujaribu kutafuta sehemu nyingine uwape wale uliowauzia akikataa mwambie aende mahakamani mkataba ipo ya maneno na maandishi kikubwa tu mashahidi
 
Kuna mzee aliwahi kuniambia..... kumchukia mwenye akili hakuwezi kufuta ujingawako
 
Hapo kama kuna vielelezo vya malipo za kwenye akaunti tunza pia mwambie kuwa eneo limeshauzwa akitaka akulipe fidia zaidi ya aliyopokea mfano akupe 20m kama fidia pamoja na ile 35m ili ujaribu kutafuta sehemu nyingine uwape wale uliowauzia akikataa mwambie aende mahakamani mkataba ipo ya maneno na maandishi kikubwa tu mashahidi
Ila siku nyingi usifanye biashara local inayohusisha pesa nyingi hivyo jaribu kuwa karibu na watu wa legal tutakusaidia
 
Hapo kama kuna vielelezo vya malipo za kwenye akaunti tunza pia mwambie kuwa eneo limeshauzwa akitaka akulipe fidia zaidi ya aliyopokea mfano akupe 20m kama fidia pamoja na ile 35m ili ujaribu kutafuta sehemu nyingine uwape wale uliowauzia akikataa mwambie aende mahakamani mkataba ipo ya maneno na maandishi kikubwa tu mashahidi
Nimekuelewa kiongozi, uzuri hata yeye anakili kabisa kuwa pesa amepokea
 
Sasa hapo ukipata nafasi mtwange official letter (demand letter) umwambie hayo Lkn akikataa basi hautakuwa liable
 
Hapo sijakuelewa kiongozi
Unachotakiwa ili uweke taarifa zako vzr zikusaidie kwenye kesi baadaye kuna doc inaitwa demand letter ni barua ya kisheria ikimtaka yeye kama atataka lile eneo basi umpe masharti akupe fidia unaweza kumwambia ndefu tu ili ashindwe asipoyafuata hayo basi wewe unajiweka mbali akikusumbua itatumika kama ushahidi mbele ya safari
 
Sawa kiongozi nimekusoma
 
Mm nilikuwa nasubiria kwanza yeye aniandikie Barua kabla ya mm kumjibu
 
Back
Top Bottom