Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Lete article acha keleleHaya mambo uchangiaji unakua hafifu, ila nyuzi za kutifuana sasa..
Daah Nitashukuru kama nitapata sample tuuuPascal Mayalla msaidie huyu kijana.
Mkuu Unavoidable Servant , asante kuni tagPascal Mayalla msaidie huyu kijana.
Mkuu Dalton elijah , mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea ambaye nina uwezo wa kuandika IJ ila nimejikita kwenye kuandika developmental stories.Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie
Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua
Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa...
Asante
Ebo! wewe umeleta?Lete article acha kelele
Ebo! wewe
Mtafute Mdau anaitwa Fortunatus Buyobe yupo TwitterNashukuru Kwa Hilo.Mimi Ni Mwanafunzi Nasoma Print Ila. Nimejikita Kwenye Data Journalist Na Investigative
Sasa Kuna Kazi Nilikuwa Nafanya Nukashindwa Kidogo Ndo Maana Nikaomba Usaidizi
Sawa Nitalifanyia Kazi Mkuu WanguMtafute Mdau anaitwa Fortunatus Buyobe yupo Twitter
You can share it private I can help out, ila kitu muhimu kuliko kitu chochote is your life and your safety!. Usifanye IJ yoyote ili tuu uonekane your brave, but you jeopardize your life, no news is worth ones life!. Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...Nashukuru Kwa Hilo.Mimi Ni Mwanafunzi Nasoma Print Ila. Nimejikita Kwenye Data Journalist Na Investigative
Sasa Kuna Kazi Nilikuwa Nafanya Nukashindwa Kidogo Ndo Maana Nikaomba Usaidizi
tutafika kweli kwa mtindo huu wa kutishana?You can share it private I can help out, ila kitu muhimu kuliko kitu chochote is your life and your safety!. Usifanye IJ yoyote ili tuu uonekane your brave, but you jeopardize your life, no news is worth ones life!. Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
You can share it private I can help out, ila kitu muhimu kuliko kitu chochote is your life and your safety!. Usifanye IJ yoyote ili tuu uonekane your brave, but you jeopardize your life, no news is worth ones life!. Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...Nashukuru