Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

Mwaka 2015 nilisajili gari no ikawa DF* hiyo DEC yako toka isajiliwe ina miaka mitano sasa hiyo si zaidi ya milion tatu na laki ya dalali
 
Hizo namba unazijuaje mzeee hebu toa darasa kidogo

Swali si langu ila me huwa nafahamu kullingana na matukio

Eg mwaka 2015 nilisajili gari ikapewa DF* kabla ya DF ni DE kwa hiyo unakadiria tu mwaka huo huo pia kulikuwa na DE ...

Eg jiran mwngne pia alinunua gari 2010 ikapewa BKD mwngne harrier yake 2017 ikapewa DJD kwa hiyo unakadiria tu
 
Pamoja sn
 
Back
Top Bottom