Si unaangalia gari ambazo zilisajiliwa sambamba na hio, gari namba DE ziliingia mtaani mwaka 2015!
Ni sawa na sahizi usajili wa magari tupo plate number T ××× DTF ni mwaka 2020! Sasa mtu mnamo mwaka 2025 aje aseme gari hio inauzwa na imetumika mwaka mmoja tu wakati usajili wa gari pengine zitakuwa ziko kwenye T xxx DZZ hapo utaona correlation ya usajili wa mwaka uliopita against uliopo hauwiani.
Hio gari ingekuwa na usajili wa DQ atleast ingemake sense. Maana gari za DQ zilianza kutoka mwezi kama huu last year. Mpaka kufikia December tukawa tumefikia DR