MSAADA: Naombeni ushauri wa kimawazo.

MSAADA: Naombeni ushauri wa kimawazo.

sindani

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
89
Reaction score
71
Nimemaliza chuo 2017 nimezunguka kutafuta kazi bila mafanikio.

Sasa nataka nianze biashara ya nafaka kama mahindi,maharagwe ya njano, soya mchele, na viungo vya chai na chakula. Cjui nianzie wapi kupata hizo nafaka kutoka kwa wakulima, nipo Moshi.

NB: nimevunja kibubu nna mtaji 1M.
 
safi mkuu, ushauri wangu ingiza 20% ya mtaji wako kwa kuanzia uanze kufanya biashara na kujifunza huko huko ili kupunguza risk sababu ndiyo unaanza.
Sababu wewe ni msomi anza kukaa na karibu na wafanyabiashara na muda mwingine kuomba msaada wa kimawazo kwao. Mwisho soma vitabu vya mambo ya biashara na jinsi ya kupata wateja.
Welcome boss
 
Je ni vitabu vipi unapendekeza aanze navyo, ili niweze kumuwekea hapa JF huyu ndugu yetu sindani
Vya kuanzia hivi hapa
IMG_20190604_154654_427.jpgIMG_20190604_154505_401.jpgIMG_20190604_154445_813.jpgIMG_20190604_154427_482.JPG
 

Attachments

Nimemaliza chuo 2017 nimezunguka kutafuta kazi bila mafanikio.

Sasa nataka nianze biashara ya nafaka kama mahindi,maharagwe ya njano, soya mchele, na viungo vya chai na chakula. Cjui nianzie wapi kupata hizo nafaka kutoka kwa wakulima, nipo Moshi.

NB: nimevunja kibubu nna mtaji 1M.

Mahindi nenda Iringa vijijini
Gunia moja 50000
Maharage nenda sumbawanga,iringa,njombe yaani mazao ya nafaka nyanda za juu kusini.
Mtaji wako mdogo sana angalau ungekuwa na million tano hivi. Pia tafuta mahali ambapo utazungusha mtaji wako kwa haraka.
 
Biashara ya nafaka ni nzuri ila tatizo ni mtaji wako, mdogo sana labda ufanye biashara hiyo hapo ulipo.
 
Mtajii unahitajika sh ngapi unahitajika
Ukipata million 5 unaweza kufanya biashara vizuri, hapo unakuwa na uhakika wa kupata angalau laki 3 mpaka 4 faida kwa kila tripu, kwa mtaji huo tafuta pori moja ujichimbie wakati wa msimu nunua mpunga toka kwa wakulima uuzia wa mashineni.
 
Naomba pdf ya the business of the 21 century na reture young reture rich vya Robert kiyosaki if unavyoo au yeyote mwenye navyo
 
Back
Top Bottom