Msaada: Napata mtihani kupata field

Tunakaribisha mawazo yote. 🙏
 
Kiukweli nimeomba sehemu 7 tofauti. Ngoja niendelee kupambana.
 
Mambo sio marahisi now days nyie mlio Graduate miaka ya 2005 Mwalimu Nyerere Memorial Academy mambo yalikuwa marahis sio Kama Muda huu
 
punguza ukorofi wewe
 
Sasa wewe unavyochanganya lugha hivi inafanya uonekane hauko serious. Kama kwenye kuongea ndo hivi pia basi una mtihani.
 
Ndugu yangu kama kwako ilikuwa rahisi usifikiri ni kwa wote. Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele ndo wasomi wanazidi kuwa wengi sana. Kwa miaka hii makampuni mengi yana vijana wanaojitolea kiasi kwamba kuwapokea wale wa field inakuwa mtihani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…