Msaada: Napata mtihani kupata field

Msaada: Napata mtihani kupata field

UDBS,hapa nafikili ni college of business,hivi kama unasoma business huwezi ukatenga Laki mbili alafu ukafanya hata biashara ya viatu tu hapo posta alafu daily ikawa unaandikia report changamoto na manufaa kwa Muda wa siku 56 Kisha ukampa supervisor!?ni lazima uende halimashauri au kwenye companies? Auu business courses ni kwa ajili ya taasisi kubwakubwa tu!?

Samahani mi sikusoma business,so mko free kunitoa tongotongo
Tunakaribisha mawazo yote. 🙏
 
Imekuwa ni changamoto sana kwa vijana wengi wasiojuana na watu kupata FPT stations. Most wanakuwa discouraged na sehemu nyingi wanazoomba na hapo ni fields tu, bado hujazungumzia mambo ya volunteering na sio kama vituo hamna ni ukiritimba na urasimu tu.
Kiukweli nimeomba sehemu 7 tofauti. Ngoja niendelee kupambana.
 
Mimi huwa nashangaag kwaza mtu unakosaje field mimi wakata nasoma najua mwezi fulani nafanya field nasambaza barua za field miezi mitatu kabla na ukiwa unasoma lazima uwe unafanya research ndogo ndogo ili ujue ni maeneo gani kwako ni vyepesi kupata kazi au kufanya field
Mambo sio marahisi now days nyie mlio Graduate miaka ya 2005 Mwalimu Nyerere Memorial Academy mambo yalikuwa marahis sio Kama Muda huu
 
Mimi huwa nashangaag kwaza mtu unakosaje field mimi wakata nasoma najua mwezi fulani nafanya field nasambaza barua za field miezi mitatu kabla na ukiwa unasoma lazima uwe unafanya research ndogo ndogo ili ujue ni maeneo gani kwako ni vyepesi kupata kazi au kufanya field
punguza ukorofi wewe
 
Wakuu habari za wakati huu,

Nakuja kwenu with a humble plea: Msaada in finding a practical training opportunity. (FIELD). Am currently a 2nd year student hapa UDSM (UDBS)

I've been to numerous companies, handing out barua, but wapi. One trick naikuta kote, its humbly said tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.

Ila bado naamini that with your guidance, I can develop the skills necessary to succeed in this finance industry.

With gratitude and unwavering perseverance,

Kijana wenu.
Mobile. +255 733 139 827

Email anatory.cfa@gmail.com
Sasa wewe unavyochanganya lugha hivi inafanya uonekane hauko serious. Kama kwenye kuongea ndo hivi pia basi una mtihani.
 
Mimi huwa nashangaag kwaza mtu unakosaje field mimi wakata nasoma najua mwezi fulani nafanya field nasambaza barua za field miezi mitatu kabla na ukiwa unasoma lazima uwe unafanya research ndogo ndogo ili ujue ni maeneo gani kwako ni vyepesi kupata kazi au kufanya field
Ndugu yangu kama kwako ilikuwa rahisi usifikiri ni kwa wote. Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele ndo wasomi wanazidi kuwa wengi sana. Kwa miaka hii makampuni mengi yana vijana wanaojitolea kiasi kwamba kuwapokea wale wa field inakuwa mtihani sana.
 
Back
Top Bottom