Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

Habari zenu wadau... Naomba mtu mwenye uwelewa na haya Mambo ya AVN anisaidie maana chuo wanachelewesha kuapload matokeo na mda unaenda..

View attachment 1911704
Wasumbue mara kwa mara chuoni wapeleke matokeo Nacte kwenye kansa husika. Mpigie msajili hapo chuoni ikibidi uende kama ni karibu, mpigie na mkurugenzi yaani we piga simu hadi yapelekwe.
 
mkuu tatizo lako ulilitatua? ulifanyaje?
 
Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
Wewe bonfya paliopoandikwa kwamba una 'account' kisha utabofya pale panaposema umesahau nywila. Baanda ya hapo itakulazimu kujaza 'username' ambayo utajaza namba yako ya kidato cha nne katika mfumo wa S..Namba ya shule/namba ya mtihani/mwaka wa kuhitimu mf: S1001/0011/2023
kisha utajaza namba yako ya simu uliyojiandikisha mwanzo. Ukimaliza hapo watakutumia 'CODE'
 
Na vipi kwa mwaka wameshatoa selection ya waliomba vyuo vya kati?
 
Back
Top Bottom