Msaada: Napigwa shoti nikigusana na mtu au kukanyaga chini bila kuvaa kitu miguuni

Msaada: Napigwa shoti nikigusana na mtu au kukanyaga chini bila kuvaa kitu miguuni

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
410
Reaction score
987
Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.

Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
 
Electrolyte imbalance?

Kwa kuanzia jitahidi unywe maji walau lita mbili kila siku. Muhimu uende hospitali ukafanyiwe uchunguzi wa kitaalamu.
 
Mh!!utakua ulipata kale ka mgao ka Escrow tu lazima,so ni bora ukamuona anko Magufuri ili myamalize mapemaaaaa maana hakuna namna sasa!
 
nakumbuka nikiwa chuo flani dodoma tulikuwa tukishika kitanda tu unayo ila huwa inakupiga kama hujajianda ukisema ushike ili upigwe haikupigi ng'o
 
Back
Top Bottom