Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata ukienda chooni kunya unapigwa shoti pia mkuu?Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.
Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
Hiyo inasababishwa na matumizi ya vitu vinavyocharge mwili hasa maeneo yenye baridi kavu. Baadhi ya vitu kama viatu vya raba, matandiko kama shuka na blanket na tiles za nyumba, aluminium, na vitu vingine vyenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi charge. Jaribu kuangalia kama hutumia hivyo vitu nilivyotaja wala hauko eneo lenye baridi basi nenda hospitali.Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.
Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
OhoooNissan nyeupe wewe
Uongo mwingine bwana.... sa uo muda adi ukakutana na mtu kusalimiana izo shot si zingeshakuua... au ulikua hugusi tena chini??Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.
Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
My be mfumo wa microchip umenza kaz yake maana hata hii technology ya smart phone hazitaki kuoparate kwa kijiti Ila finger touch ama mlango kufunguka wenyewe ukiukaribia mmm pengine maandiko yameti100Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.
Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
Unajua tabia ya charge? Nikupe zoezi kidogo, chana karatasi vipande vidogo vidogo. Pia chukua kalamu ya biki sugua kwenye nywele kichani. Halafu gusisha hiyo biki kwenye hivyo vikaratasi angalia kitakachotokea.Uongo mwingine bwana.... sa uo muda adi ukakutana na mtu kusalimiana izo shot si zingeshakuua... au ulikua hugusi tena chini??
Bas we ni "tommorow people"
Umesha pigs na show mkuu?Mie huwa inanitokea mara kwa mara. Hapa juzi juzi nikiwa kanda ya kati nilienda dukani kununua kitu, muuza duka alikuwa wa kike basi ile nampa hela tukapigwa shoti balaaa. Mtoto wa kike aliogopa sana. Namie nikapata upenyo wa kuzengea hapo hapo nikamwambia damu zetu zimeendana ndio maana tumepata shoti. Akaniamini mnoo. Hadi leo ni marafiki.
Hata mimi kuna kipindi huwa inanitokea sijui ni nini hasaTatizo hilo lipo ndugu, kuna rafiki yangu ana duka, akigusa meza za aluminium anasikia shot kama hiyo. Sijafahamu sababu ni nini lkn naamini watakuja wataalamu kufafanua
PoleHata mimi kuna kipindi huwa inanitokea sijui ni nini hasa