worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 978
- 911
Asante nduguPole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nduguPole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Albadir imeanza kufanya kazi
Mkuu panda juu ya ghorofa hata ya tatu au tano halafu ruka mpaka chini,,inawezekana wewe ukawa roboti bila kujijua,,..Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.
Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
Nadhani ni madhara ya kuchepukaNimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi ameshtuka kabisa.
Hii ni nini jamani mwenye kujua zaidi anielekeze, maana nahisi kuchanganyikiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fika TANESKO, Dili hilo