Msaada: Napigwa shoti nikigusana na mtu au kukanyaga chini bila kuvaa kitu miguuni

Hili tatzo na Mimi lilinitokezea kama miaka miwili iliyopita hivi yaan ninapovua viatu au hatakama nimevaa ninapokamata kitu kama frigi;meza ya simu au ninapomgusa MTU lazima shoti itokezee mpk was was ukanijaa Ila lilipotea tatzo hilo hadi leo halijinitokea tena.
 
Huwa inanitokea mara chache sanaaa naposhika aluminium au chuma hasa kipindi cha baridi
 
Mkuu panda juu ya ghorofa hata ya tatu au tano halafu ruka mpaka chini,,inawezekana wewe ukawa roboti bila kujijua,,..
 
Nadhani ni madhara ya kuchepuka
 
Mimi tatzo langu huwa kuna muda naskia vitu vinanichomachoma mwilini kama mtu ananichoma na sindano au kama nang'atwa na mbu vile naombeni msaada wenu mwenye kujua hili tatzo
 
isije ikawa psychic powers hizo zimeanza kukupa notification pasco njoo utupe maoni yako.
 
Mkuu jaribu angalau kwa siku mara mbili unavua viatu na soksi unakanyaga chini chaji zote zinaenda ardhini. Ni muhimu kuwa na mazoea ya kufanya hivyo kwamtu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…