Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] ameomba ushauri lakini!Aiseee
Hairuhusiwi kabisa lile ni kwa ajili ya mtoto tu. Wewe ulishanyonya utotoni na ukaacha.Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?
Hahahahahah.... naona unatafuta kibali kwa zaoezi ambalo umeshaanza, acha hizo wewe utakuja kumfanya dogo akose maziwaWakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?