Msaada: Naruhusiwa kunyonya ziwa baada ya muda gani?

Msaada: Naruhusiwa kunyonya ziwa baada ya muda gani?

hehehehe aiseee fake ID raha saaana. Mkuu uko huru sana kuuliza hili swala daah
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Baba kamiss nyonyo.
 
Da.nilikuwa siwazi kama kuna mijitu mizime inapenda kunyonya maziwa Kama watoto wadogo ,
kiasi cha kuomba ushauri..
 
Matiti ni mali ya baba watoto huwa wanasaidiwa tu!
 
Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?
Hairuhusiwi kabisa lile ni kwa ajili ya mtoto tu. Wewe ulishanyonya utotoni na ukaacha.
 
Huruhusiwi kunyonya ziwa la mke wako, unaweza kumtomasa tu ili kumpa ashki lkn co kumnyonya ebo....ndo mana yanageuka ndala hlf mnawachoka hrk na kuwasema vby[emoji57] [emoji36]
 
Ushauri wa bure hayo mwachie mwanao afu wewe tafuta ng'ombe ndo uwe unamnyonya yale matiti yake ni matamu na utaenjoy kisha lete feedback hapa jukwaani.
 
Kaaa haya sasa makubwa .. Unangangania kunyonya af we n mtu mzma doh
 
Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?
Hahahahahah.... naona unatafuta kibali kwa zaoezi ambalo umeshaanza, acha hizo wewe utakuja kumfanya dogo akose maziwa
 
Hivi mwanamke ananyonywa maziwa/matiti hata baada ya kuzaa?
Me nikajua huwa ni mabinti tu ambao hawajazaa!!!
Ila yana raha yake,hasa yalosimama
 
Nitamuulizia , Mama kama Baba, huwa ananyonya na muda sahihi anaonyonya ili nikuletee jibu wewe mleta thread.

Subiria apo hapo!
 
Back
Top Bottom