Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

Kisha wanaiweka kwenye schedule ya deletion kwahyo itabidi asi-log in tena
 
Umetusaidia wengi.
 
Lakini sababu zako za kufuta ni weak.
Hiyo account ya zamani si ndio nzuri kwaajili ya kumbukumbu zako na kujua ulikotoka.
Kailock ili watu wasiipate details zake au post zilock
 
mbona hakuna sehemu imeandikwa ivyo
Wacha uwongo wewe 😊😊

Ukishabofya jina langu angalia pale chini kidogo utaona follow, ignore na start conversation sasa ubofye start convo apo alaaa
 
Asibonye deactivate abonye delete.
Hapo zikipita siku 30 account itakua imefutwa mazima na no where to be found.
 
Wacha uwongo wewe 😊😊

Ukishabofya jina langu angalia pale chini kidogo utaona follow, ignore na start conversation sasa ubofye start convo apo alaaa
ahahah sina nguvu za kubonfya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…